Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu watu wana frastresheni wazoee tu..hii ni jf.Sasa mbona we ni contradiction? Fundi wa mtaani humtaki; mkandarasi hutaki kufahamu.
Utajenga kwa mikono yako na mkeo ama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watu wana frastresheni wazoee tu..hii ni jf.Sasa mbona we ni contradiction? Fundi wa mtaani humtaki; mkandarasi hutaki kufahamu.
Utajenga kwa mikono yako na mkeo ama?
Kuna misukule humu ndugu usidhani kila mtu ni timamuSasa mbona we ni contradiction? Fundi wa mtaani humtaki; mkandarasi hutaki kufahamu.
Utajenga kwa mikono yako na mkeo ama?
Kutoka wapi? Colombia, Mexico ama Pakistan?ntarudi
Kutoka wapi? Colombia, Mexico ama Pakistan?
Humfaham tu jamaa huyu humuMbona unataja taja nchi zile zile za Netflix Narcos? Mwenzetu Punda nini? Lol
Karibu uone kazi zangu.Nashukuru sana mkuu, hii imenipa mwanga!
Naangalia uwezekano wa kutoa ka-ghorofa cha floor moja ila sina imani na mafundi wa mtaani.
Ndio naona bora nijue bei ya kufanya kitu roho ikiwa na amani.
Nadhani hapo kwenye mkandarasi ulikua una maanisha engineer.Mkandarasi anaweza kuwa fundi mbobezi au msomi. Au mbobezi na msomi. Chaguo ni lako, kwa sababu gharama yake (consultation fee) inatokana na factors hizo hapo juu kwa asilimia kubwa.
Mbobezi asiye msomi na msomi asiye mbobezi, gharama zao ni ndogo kuliko mkandarasi msomi na mbobezi.
Kwa kifupi, mkandarasi nguvu yake kubwa ipo kwenye consultation. Kusimamia na kushauri ujenzi hatua kwa hatua.
Mafundi, wanaweza kuwa sub-contracted, au wakawa ni wafanyakazi wa huyo mkandarasi (kampuni ya ukandarasi). Bei huwa kubwa kama utatumia kampuni kwa sababu kampuni huwalipa mshahara mafundi wake hata kama hakuna kAzi. Huwalipia bima nk.
Kuepusha gharama kubwa za ukandarasi na hapohapo kupata ubora wa ujenzi ni vyema ukatumia consultant msomi na mbobezi katika hatua ya site visitation na kuandaa michoro yote.
Ukishapata michoro yote ( hakikisha ina notes za zege i.e mkorogo wake na thickness kwenye footings, columns, beams na slab). Pia aandae BOQ.
Hiyo hatua ya mwanzo ndiyo unayotakiwa utumie hela nyingi na usiwe mbahili kwenye hatua hiyo.
Baada ya hapo, chukua mkandarasi mbobezi, fundi mwenye experience hata kama hana degree lakini keshajenga sana vifleti vya maana na hawa wapo mtaani. Na atakuja na kundi lake la vibarua.
Mpe hela kidogo msomi aliemaliza chuo karibuni, umuambie fundi mimi na huyu tutasimamia kAzi.
Gawanya kAzi kwa mkataba. Hakikisha Kila hatua imeandikiwa mkataba kabla ya kuanza.
Isiwe na haraka, ikiwezekana jenga master sebule na vuta maji kabla.
Ukifanikiwa, hiyo ramani ni mali yako na inaweza kuuzika au kutumika tena for a little fee na bado ukawa unatengeneza hela.
Ni maoni yasiyotoka kwa fundi.
Sikushauri umpe mkandarasi mmoja kAzi yote. Yaani akuchoree michoro na huyohuyo akutengenezee madirisha, No.
No ... Not reallyNadhani hapo kwenye mkandarasi ulikua una maanisha engineer.
Best comment. Asante sanaMkandarasi anaweza kuwa fundi mbobezi au msomi. Au mbobezi na msomi. Chaguo ni lako, kwa sababu gharama yake (consultation fee) inatokana na factors hizo hapo juu kwa asilimia kubwa.