Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JARIBU KUWASILIANA NA BODI YA MICHEZO YA KUBAHATISHA KWA MSAADA ZAIDINimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
Idara za serikali kwenye swala la huduma kwa wateja ni zero kabisaHawajib email
Jaribu kuwacheki labda kesho siku ya kaziHawashiki cm na mda mwingi wapo busy na kwenye page yao amna ufafanuz
Mimi nawaza kifungua branch ya betting uki kijijini kwetu sijui nifanye nnNimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja