Naomba kujuzwa gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire

nakutumia mawasiliano ya kampuni kwa pm ili uhudumiwe kulingana na bajeti yako
Shukraani mkuu ila ungependeza uweke humu ili kila anayependa kufanya hivi aone no need ya usiri hapa, hii ni mada nzuri mno na ninakazia utalii wa ndani ni muhimu mno kwa uchumi wa nchi hasa kusaidia hizi lower class, middle class mpo kwenye position ya kusukuma huu utalii wa ndani, wenzetu kwenye nchi za SADC wanafanya sana hili, just imagine kila Ijumaa kunakuwa na coaster/mabus 20 kutoka Dar kwenda Mikumi national park, jumuiya nyingi tu zitanufaika humo njiani
 
Asante sana mkuu kwa interest yako lakini pricing nategemea vile vigezo nilivyouliza. Maana hata yeye mwenyewe hajui ataanzia safari wapi na ataishia wapi. Kwa mantiki hiyo inaniwia vigumu kufanya quotation. Otherwise labda kama unataka niweke humu tour packages na bei zake. Tunazo za kila aina kwa ajili ya watanzania
 
I love it mkuu, weka humu hasa packages za watanzania, high &low season's
 
Asante sana mkuu kwa interest yako lakini pricing nategemea vile vigezo nilivyouliza. Maana hata yeye mwenyewe hajui ataanzia safari wapi na ataishia wapi. Kwa mantiki hiyo inaniwia vigumu kufanya quotation. Otherwise labda kama unataka niweke humu tour packages na bei zake. Tunazo za kila aina kwa ajili ya watanzania
Fanya hivo mkuu, nione hizo packages na bei zake
 
Back
Top Bottom