Naomba kujuzwa gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire

Yes,Fanyeni hivyo ili watanzania nao waweze kushiriki huo utalii.Unajua tunaogopa sana maana hatujui basic cost kwa mtanzania(package)
Ni gharama nafuu sana kwa Raia wa Afrika Mashariki kila sikukuu ntakua naweka packages hapa December kampuni ilipeleka karibu gari saba hizi Land Cluiser kwa nyakati tofauti
www.mothercitysafarisi.com
Tupo safaribookings pia watu wengi wanataka kufanya utalii wa ndani ila hawana taarifa...
 
Ukiwa na 2M mnainjoy kabisa hakikisha una hio hela tu
Mkuu hapo ni mbuga karibu zote yaani aende Manyara,Tarangire,Ngorongoro na Serengeti afike hata kaskazini kule ndio itafika 1,800,000 na atalala Central Serengeti luxury au mid Range Tented Camp kwa Tarangire day trip au ya kulala siku moja na Manyara National Park ni 600,000 Tsh hapo ni mid range Tented Camp au mid range Lodge...chakula kwa siku hiyo juu ya Kampuni...
 
Kumbuka wako mtu bee
 
Kumbuka wako mtu bee
Hawa wanataka kuona Tembo,Simba Mkuu wanatengezewa Program ya kulala mid range za karatu au Tarangire sio walale ndani ya Park pana gharama yake ya kulala kwa usiku mmoja kwa kila mgeni ndani ya Park..hiyo huwa inaongeza gharama hizo mid range Lodge au Tented Camp ni nzuri sana kama uende hapo Nyikani ni hatari sana
 
Ni gharama nafuu sana kwa Raia wa Afrika Mashariki kila sikukuu ntakua naweka packages hapa December kampuni ilipeleka karibu gari saba hizi Land Cluiser kwa nyakati tofauti
www.mothercitysafarisi.com
Tupo safaribookings pia watu wengi wanataka kufanya utalii wa ndani ila hawana taarifa...
Siyo mpaka sikuu tuu.wekeni running packages.watu wanaweza ji-organize week ends
 
OK hizo zipo Mkuu kila siku ila za sikuu pana offer nyingi kampuni za tour huwa wanapata huko kwenye Lodge za Mbugani unapokua na watu wengi gharama inapungua na wanachajiwa kwa kundi kuanzia watu sita au kumi na nne...
 
Tarangire ni mbuga nzuri sana ya kutembelea sema watu wanaichukuliaga poa sana..
 
Hebu nisaidie;

-Ukifika hapo getini,kuingia ada bei Gani?

-Nimeshaingia,nataka wanipeleke kuona wanyama Kwa siku Moja TU,ada sh ngapi?

-chakula na wapi pa kulala ni juu yangu.
 
Mkuu hapo ni mbuga karibu zote yaani aende Manyara,Tarangire,Ngorongoro na Serengeti afike hata kaskazini kule ndio itafika 1,800,000 na atalala Central Serengeti luxury au mid Range Tented Camp kwa Tarangire day trip au ya kulala siku moja na Manyara National Park ni 600,000 Tsh hapo ni mid range Tented Camp au mid range Lodge...chakula kwa siku hiyo juu ya Kampuni...
Mkuu 2m anapiga trip zote hizo?!! Gari atakuwa analipa pesa ngapi per day? Mbali na mazagazaga mengine ikiwemo parking fee,malazi na chakula?
 
Mkuu hiki ni kipindi cha Low Season mpaka June kumbuka pak fees kwa watu raia wa Afrika Mashariki ni 10,000 Tsh na 5000 kwa watoto na ile gharama ya kitanda kama watalala Mbugani ni 15,000 kwa 5000 Tsh kwa watoto walio zaidi ya miaka mitano na chini ya 5yrs ni Free mbuga karibu zote..
Kitu kingine Lodge nyingi tunakua na offer kila mara baada ya kuwapelekea wageni...Itinerary inayotengenezwa hapo ni kupiga Game Tarangire na Manyara siku moja kulala Karatu nje ya Camp asubuhi wanatoka hapo kuelekea Central Serengeti wanapiga Game Drive siku nzima wanakuja kualala ndani Ngorongoro Crater Rim kwenye mid range Tented Camp hapo pana 2 nights chakula ni 20 usd kama watachukua cha picnic ni 25usd wengine hiyo hiyo 20 usd...dereva alipiwi chakula anakula kile kile wanachokula wageni...
Kumbuka hii kazi muda mwingine unafanya kwa ajili ya matangazo tuu sio kuweka faida kubwa maana yapo makampuni mengi tunashindania kupata wageni wachache wenye taarifa...gari ni ya kampuni ila kama tunakodisha huwa tunalipa 180usd kwa Cluiser iliyosimama kazi hizi za kutangaza Kampuni tunatumia gari za Mothercity Safaris Ldt..
 
Attachments

Nina plan ya Serengeti baadae mwaka huu nitakutafuta mkuu. Asante
 
Ok poa karibu sana Mkuu tutawasiliana kwa program unayotaka unatuma email nakuandalia hizo digital Itinerary unaziona ratiba zake mpaka unamaliza Adventure yako na Option activities zingine unaandikiwa pia kama Ballon safari ndani ya Serengeti pana kampuni mbili hazijatifautiana sana bei...
 
Back
Top Bottom