Naomba kujuzwa gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire

Sas kwanini hamsemi mpaka muitane kwenye kampuni huko. Wekeni mzigo sawa hapa hapa
Itapendeza mno wakaweka hapa hizi packages, kipindi nchi Ina heshima na adabu, utalii huu ulikuwepo hasa kwa wakaazi wa Dar kwenda mikumi national park kwa weekend, pia kumbuka zile coaster za pale Magomeni Mapipa za kwenda Morogoro hasa weekend, ila ilipoingia hii generation Lia Lia na viajira na dot.com imevuruga kabisa, wakaazi wa Mbeya,Kyela, Makambako hadi Njombe tembeleeni kule matema Beach ni mwaaaa au pale kitulo national park, kuna maua pale dunia nzima hawana!,Mwenyezi Mungu katupa nchi nzuri tu ila sisi tunavuruga tu,ona Dar tungeijenga kwa mpangilio mzuri sana,fly over kuanzia msimbazi inakumwaga ubungo, suspension bridge pale Ferry kwenda kigamboni, fly over kuanzia seamen club inakumwaga mtoni....,anyway tutafika huko tumechoka sana
 
Inategemea unalala sehemu gani,labda uingie na ukishamaliza mizunguko yako ukalale mtaani nje ya pale,kuna lodge moja iko mle ndani inaitwa Sopa usiku mmoja ni ni kama 1.2m...
Kiujumla ni kuwa ni bei rahisi hasa Tarangire, tunaziogopa tu
 
Nimekuja kwenye uzi nione bei approximately halafu hivi hizi chengachenga zinamfaidisha nani?

Biashara ya mtandaoni uwazi na taarifa kamili, pricing etc aaaah.

Wekeni hata makadirio, tengeneza hata mtu wa mfano, au couple ya mfano inawapa huduma unawapitisha huku na huku af unasema ni sh ngapi. Atakayeongeza vipackage itaongezeka, atakayepunguza vipackage itapungua eeeeasy
 
Shalom members.

Naomba kufahamu gharama za kutembelea mbuga ya Tarangire kwa kichwa.

Thanks in advance.
wewe huna hela nenda katembelee poli liloko karibu nawe tangu lini mtalii akauliza hele hili akatalii
 
Itapendeza mno wakaweka hapa hizi packages, kipindi nchi Ina heshima na adabu, utalii huu ulikuwepo hasa kwa wakaazi wa Dar kwenda mikumi national park kwa weekend, pia kumbuka zile coaster za pale Magomeni Mapipa za kwenda Morogoro hasa weekend, ila ilipoingia hii generation Lia Lia na viajira na dot.com imevuruga kabisa, wakaazi wa Mbeya,Kyela, Makambako hadi Njombe tembeleeni kule matema Beach ni mwaaaa au pale kitulo national park, kuna maua pale dunia nzima hawana!,Mwenyezi Mungu katupa nchi nzuri tu ila sisi tunavuruga tu,ona Dar tungeijenga kwa mpangilio mzuri sana,fly over kuanzia msimbazi inakumwaga ubungo, suspension bridge pale Ferry kwenda kigamboni, fly over kuanzia seamen club inakumwaga mtoni....,anyway tutafika huko tumechoka sana
Ninalifanyia kazi. Nitapost packages humu
 
Back
Top Bottom