Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Usiporidhika na majibu utaahirisha safari?Pia safari ya kwenda huko kutokea dar ni takribani saa ngap[emoji120]
Hapana mkuu😂Usiporidhika na majibu utaahirisha safari?
Panda bus ya JM au Osaka. Za musoma . Shukia kituo kinaitwa kiabakari. Gest Bei ni kuanzia ten na kuendlea. Life huko ni rahis sana.Natumai wote ni wazima wa Afya
nimepata shughuli kidogo ya kufanya huko butiama mara. Natarajia kuwepo huko kwa wiki kadhaa (atleast 6)..
Osaka limejaa kunguni, ukitaka uishi vizuri huku unafanya kazi butiama ni vyema ukaa musoma mjini, nauli ni shilingi 4000 kutoka musoma mjini magari ni mengi sababu uchumi wa butiama unategemea musomaPanda bus ya JM au Osaka. Za musoma . Shukia kituo kinaitwa kiabakari. Gest Bei ni kuanzia ten na kuendlea. Life huko ni rahis sana.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Tanzania ni ile ile mkuu. Unayoyaona huko uliko ndiyo utakayoyakuta Butiama.Hapana mkuu[emoji23]
We nijuze tu unayo yajua hapo