Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confirm kwanza ku report kambini. Plus acha uoga kapige kozi wa kiume wewe kazaJamani ndugu Kwa unyenyekevu mkubwa nilikua naomba msaada kujua ni muda gani hasa wa kuripoti kwenye mafunzo ya upolisi na yatachukua muda gani Hadi kukamilika yeyote mwenye uelewa tafadhali🙏
Confirm kwanza ku report kambini. Plus acha uoga kapige kozi wa kiume
Hamna uoga Bali tunaweka ratiba ili kuona mambo yanaenda vp sio tunaenda enda tuuu kiongozConfirm kwanza ku report kambini. Plus acha uoga kapige kozi wa kiume wewe kaza
Poa shuklani kiongozMkuu mbona ndio kwanza nafasi zimetangazwa na deadline hata haijaisha imesogezwa tena mpaka tarehe 26, hapo watakaa hadi waite interview baada ya hapo wakae tena ndio waite watu kwa ajili ya mafunzo siyo leo wala kesho, na muda wa mafunzo ni mwaka mmoja kwa Polisi
depo sasa hivi ni mwaka mmoja, miaka ya nyuma ilikuwa ni miezi 9