Bratherkaka
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 101
- 10
Asante sana, duu, inamanisha hata kwa walio poteza sms kwa kufuta message, itabidi waende.Mkuu fuatilia kituo ulichopatia chanjo, kwani kwa wale wa mwanzoni, mfumo ulikuwa bado haujaboreshwa kama sasa hivi, hivyo yale majina yenu, yanaingizwa kwenye mfumo manually, ndio maana inachukua muda, na unaweza kukuta labda jina limerukwa au chochote kimetokea, au bado hujafikiwa.Nenda ukawaone ndio utapata jibu la uhakika., kuna case kama yako, jamaa naye ilikuwa hivyo hivyo na alipokwenda ndio wakamuingiza kwenye mfumo, na akapewa cheti chake hapo hapo.
Kwa waliotumiwa sms za link, kama umeifuta ndio basi tena hutaweza kupata link nyingine, ili ukitaka kwenda kuki print upate kitambulisho, bali utabakia na ile karatasi tu ya chanjo, inayokuonyesha kuwa umepata chanjo.kwani ukichanja unapewa karatasi, yenye particulars zako, na unatumiwa link, ili ukitaka kupata kitambulisho , unaenda stationery una print!!wakienda watapewa tu karatasi ya kuonyesha wamechanja lakini , lile sms ya link hakuna tena.Asante sana, duu, inamanisha hata kwa walio poteza sms kwa kufuta message, itabidi waende.
Duu