#COVID19 Naomba kujuzwa jinsi ya kupata certificate of COVID-19 Vaccination

#COVID19 Naomba kujuzwa jinsi ya kupata certificate of COVID-19 Vaccination

Bratherkaka

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
101
Reaction score
10
Guys,

Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia,

Hadi leo sijapata message ya kupata cheti,

Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti,

Njia gani naweza pata cheti, nimeangalia kwenye website ya wizara ya afya bila mafanikio.

Help me out.

Thanks
 
Mkuu fuatilia kituo ulichopatia chanjo, kwani kwa wale wa mwanzoni, mfumo ulikuwa bado haujaboreshwa kama sasa hivi, hivyo yale majina yenu, yanaingizwa kwenye mfumo manually, ndio maana inachukua muda, na unaweza kukuta labda jina limerukwa au chochote kimetokea, au bado hujafikiwa.

Nenda ukawaone ndio utapata jibu la uhakika., kuna case kama yako, jamaa naye ilikuwa hivyo hivyo na alipokwenda ndio wakamuingiza kwenye mfumo, na akapewa cheti chake hapo hapo.
 
Mkuu fuatilia kituo ulichopatia chanjo, kwani kwa wale wa mwanzoni, mfumo ulikuwa bado haujaboreshwa kama sasa hivi, hivyo yale majina yenu, yanaingizwa kwenye mfumo manually, ndio maana inachukua muda, na unaweza kukuta labda jina limerukwa au chochote kimetokea, au bado hujafikiwa.Nenda ukawaone ndio utapata jibu la uhakika., kuna case kama yako, jamaa naye ilikuwa hivyo hivyo na alipokwenda ndio wakamuingiza kwenye mfumo, na akapewa cheti chake hapo hapo.
Asante sana, duu, inamanisha hata kwa walio poteza sms kwa kufuta message, itabidi waende.

Duu
 
Kuna ishu nyingine pia, unaweza kupata cheti lakini kikawa kina makosa ya kitu kama herufi za jina lako au tarehe ya kuzaliwa.
 
Asante sana, duu, inamanisha hata kwa walio poteza sms kwa kufuta message, itabidi waende.

Duu
Kwa waliotumiwa sms za link, kama umeifuta ndio basi tena hutaweza kupata link nyingine, ili ukitaka kwenda kuki print upate kitambulisho, bali utabakia na ile karatasi tu ya chanjo, inayokuonyesha kuwa umepata chanjo.kwani ukichanja unapewa karatasi, yenye particulars zako, na unatumiwa link, ili ukitaka kupata kitambulisho , unaenda stationery una print!!wakienda watapewa tu karatasi ya kuonyesha wamechanja lakini , lile sms ya link hakuna tena.
 
tunakoenda hicho cheti kitatumika kama sehemu ya cv. Hatari sana.
 
Back
Top Bottom