Naomba kujuzwa jumla ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania

Naomba kujuzwa jumla ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?..

Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu..

Nigeria ..
Ghana
Ivory coast
Senegal
Kenya.
Zimbabwe
Zambia .
Rwanda
Burundi...
Mali..

Anaeweza jua kila hizi nchi zina wachezaji wangapi please asaidie
 
Dah! Angekuwepo Afisa wa TFF humu, basi ungepata data halisi. Tena hata majina yao, umri, nk. pia ungepewa.
 
Daaaah.!....Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeh...
Yaani soka tumeliua tayari (1st eleven ya timu kubwa za nchi hii.) Inawachezaji wazawa wasiozidi 3......ONYO: USINIULIZE KUHUSU MAGUIRE wa Man u (EPL)...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2323838
 
Kwa ninavyojua Mimi.

Congo.............12
Nigeria ..........3
Ghana...............3
Ivory coast.........2
Senegal................1
Kenya.....................3
Zimbabwe...........3
Zambia .................3
Rwanda.................1
Burundi..................5
Mali...........................2
Blazil.
Corea.
Uganda.
Serbia.
Malawi.
 
Kwa ninavyojua Mimi.

Congo.............12
Nigeria ..........3
Ghana...............3
Ivory coast.........2
Senegal................1
Kenya.....................3
Zimbabwe...........3
Zambia .................3
Rwanda.................1
Burundi..................5
Mali...........................2
Blazil.
Corea.
Uganda.
Serbia.
Malawi.
Duh Korea?yupi huyo?
 
Ureno kwa kina Ronaldo mmoja.
Uzbekistan mmoja.
 
Back
Top Bottom