Kipa wa Azam ni mcomorroNimesikia Hadi commoro wapo sijui kweli?
Duh Korea?yupi huyo?Kwa ninavyojua Mimi.
Congo.............12
Nigeria ..........3
Ghana...............3
Ivory coast.........2
Senegal................1
Kenya.....................3
Zimbabwe...........3
Zambia .................3
Rwanda.................1
Burundi..................5
Mali...........................2
Blazil.
Corea.
Uganda.
Serbia.
Malawi.
Usisahau pia Kuna mjapani.Duh Korea?yupi huyo?