Naomba kujuzwa juu ya kumdhamini mtu mahakamani

Naomba kujuzwa juu ya kumdhamini mtu mahakamani

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Nimemwekea mtu dhamana Mahakamani, je, anaruhusiwa kusafiri?
 
Ninamfahamu, ameniomba sana akasalimie familia!

Issue Ni, kusafiri kwake kutamfanya asihudhurie Mahakama? Kama siku ya mahakama yupo mwache tu asafiri; Kwani unamwona kila saa!

Ila kusafiri siku ya Kesi and wewe uende kuomba uzuru, huo Ni ujinga sasa. Usije thubutu kufanya hivyo inaweza kukuletea shida Sana, labda ugonjwa ndo waweza muombea uzuru!
 
Back
Top Bottom