Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana mazima, ten floors tittle kwa jina lake, na 5 floors zikawa titled kwa jina langu,
Je venture, au kampuni gani inaweza kufacilitate suala hili.
Help!
Je venture, au kampuni gani inaweza kufacilitate suala hili.
Help!