Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
wakuu msaada kujuzwa kimsingi kesi CMA inaweza kwenda muda gani?
Na kama zaidi ya mara mbili unapata ushindi mshtakiwa anakata rufaa.
Au wakati kesi yaendelea hatokei siku ya kuitwa mara kwa mara na mara nyingine hatoi tarifa ya udhuru kabisa.
Mimi ndio mshtaki mkuu, yes nilimanisha revison.. ila mshtakiwa mara nyingi hatukei kwa muamuzi..na mwanzo tulishinda .. tumerudi upya.. ilichukua mwaka miezi minneMuda hutofautiana kutokana na mazingira ya case husika.
Hili aliwezekani kwani katika case za ajira zinazosikilizwa CMA hakuna haki ya rufaa bali ni marejeo (Revision), unless otherwise ulikua ukimaanisha revision
Hapa unaweza kuiomba tume (CMA) waendelee kusikiliza case upande mmoja kama wewe ndiye mwenye case ama waifute case kama wewe ndiye mshitakiwa
Mimi ndio mshtaki mkuu, yes nilimanisha revison.. ila mshtakiwa mara nyingi hatukei kwa muamuzi..na mwanzo tulishinda .. tumerudi upya.. ilichukua mwaka miezi minne
Tuna wakili ila sasa kesi inaenda kuwa gharama mno..Iombe tume iendelee kusikiliza shauri upande mmoja, pia nakushauri tafuta wakili mkuu.
Nini kinacho fanya.kesi kua na gharama kubwa!!??Tuna wakili ila sasa kesi inaenda kuwa gharama mno..