Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
Habarini,
Naamini wote mu wazima, wakuu msaada kujuzwa kimsingi kesi CMA inaweza kwenda muda gani?
Na kama zaidi ya mara mbili unapata ushindi mshtakiwa anakata rufaa.
Au wakati kesi yaendelea hatokei siku ya kuitwa mara kwa mara na mara nyingine hatoi tarifa ya udhuru kabisa.
Msaada wenu please. Je, mara ngapi asipofika kesi iamriwe? Je mwisho ngapi rufaa?