Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Mkuu unaweza ukashare na sisi hiyo elimu yako na kwamba kwanini asinunue? Maana umesema kuwa wewe ni expert wa European Cars ila sasa kwanini hii hapa umeipa big NO as opposed to Opel, Discovery na Audi ambazo huwa unazipa positive review.Mimi ni 'mtaalamu' wa gari za Euro especially UK nakwambia kifupi tu USINUNUE.
MCHANGO WAKO TAFADHALI