Hiyo kozi inayotolewa pale SUA, itakupelekea kuwa mtaalam wa mifugo (utabibu na uzalishaji wa mifugo).
Unaweza kujiajiri kwenye mambo kadha wa kadha yanayohusu mifugo na mnyororo wake wa thamani.
Kwa maelezo zaidi kuhusu fursa, tazama hapa...
Zifutazo ni BAADHI tu ya fursa ambazo zinapatikana katika sekta ya mifugo na mnyororo wake wa thamani. Jipimie inayoweza kukufaa zaidi na uifanyie kazi katika kujitanua kibiashara na kujiongezea kipato chako. Zipo zinazohitaji mtaji mkubwa,unazoweza kuanza hata kwa mtaji mdogo, zinazotaka...
Ukitaka kuendelea na masomo zaidi, basi unaweza kusomea udaktari wa wanyama (veterinary medicine), sayansi ya wanyama (animal sciences), ufugaji samaki (aquaculture), general agriculture na kozi nyinginezo zinazohusu sayansi maisha ya viumbe (life science related courses).
Ni miongoni mwa kozi nzuri sana.
Kila la heri kama umechaguliwa kusoma kozi hiyo.
lisbon eliado tibeliado