Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
HR ni course related na all social na business studies kozi yoyote ya biashara kuanzia, uhasibu, fedha, kodi, masoko, ugavi na ununuzi na hiyo business administration kote huko unafit na unapokelewa vizuri tu kwa chuo chochote kwa hapa nyumbani Tz