Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

mdogo wangu aisee kapiga moja tuu kimasihara katoboa mm kila nikipiga sitoboi kuna moja nilifika mpaka kwa oral tukawa 20 nafasi 8 nikajipa uwakika kabisa natoboa duu mwisho wa siku yale yale
Mdogo wako kasomea course gani mkuu?
 
Naelewa lkn ni kwa kiasi kidogo sana mkuu mi kuna washkaj zangu na ndugu zangu wengi tu wamepita bila connection mkuu
Ilo nalijua mkuu, ila kadri siku zinavyokwenda uhaba wa ajira unakuwa zaidi so, kiasi connection iongezeke kwa kasi hata huko utumishi, ukiachilia taasisi za umma kamchukue, lete vyeti vyake, nipe namba yake ya simu na son.
Connection is everything for this time
 
sio majina manne ni saba yale ya tar 9 nadhani ya traveling ticket
 
Kibua unajua sisi ndo tunafany kazi nyingi sanaa na za muhimu kwenye jamii na tunakusanya mapato makubwa ukiacha tra kwa mfano kitengo changu unaona kabisaa mupunga mwingii tuu unaingia lkn wanatubania sijui kwann sem kikubwa uhai tuu
Ukifikiria hivyo utaumia sana. Mimi nilipo naingiza zaidi ya sh. milioni 300 kwa mwezi. Mshahara wake sasa....... Asante Mungu ipo siku na sisi tutaboa tu. Ni kujipa moyo tu. Ila ukipata nafasi inayolipa zaidi, basi unachomoka fasta. Au uhakika ni kujiajiri tu, endapo utapata mfereji ulionyooka, au hata kama utakuwa na kona kona, basi zisiwe nyingi sana.
 
Sasa kama mkuu za hv karibuni ata kuitisha interview bado, vp awe tayar ameajiriwa maana deadline yake ni trh 29Nov
Achana na hizi ambazo deadline bado Kuna nyingine tulifanya mwezi wakumi ambapo Mimi pia nilifanya tukachaguliwa kwenye oral watu 20 walitoa majina manne walioitwa kazini mwezi huu ambapo Mimi sikubahatika
 
ahaaaa na mm nilikuwepo mkuu sema walinikata toka kwenye written aiseee ule pepa wa kupata 40 kweli dah
 
sio majina manne ni saba yale ya tar 9 nadhani ya traveling ticket
Ahaa Mimi naongelea zile za assistant commercial officer zilitoka kabla ya izo za ticketing nazani walichukua majina kwenye database
 
so hukupiga oral alafu nahis walichukua kweny database coz wote tulifany ule wa assistance commercial
 
Back
Top Bottom