Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

Maana utumishi nishagonga pepa za kutosha sitoboi na unakuta paper rahisi tu ila hiyo competition ya watu noma
Na civil mnakuaga wengi k** 😁😁 utatoboa vipi,
Si mechanical tunakuwaga labda 100 ila huelew umekosa kosa vp,
Na tangia wamehamia dom interview zao sikanyagi,,
Nichome nauli nijute mara mbili
 
Na civil mnakuaga wengi k** 😁😁 utatoboa vipi,
Si mechanical tunakuwaga labda 100 ila huelew umekosa kosa vp,
Na tangia wamehamia dom interview zao sikanyagi,,
Nichome nauli nijute mara mbili
Hutaki ujute mara mbili 😂😂😂 ungese sana yaan mtu unaweza ukapiga interview za utumishi hadi ukachoka na usitoboe make ukizingatia wahitimu kibao kama kumbi kumbi, wengine saa hv tumeona tuangalie mishe nyengine 🤒
 
Okay ila Kuna bwana mdogo wangu alikuja na barua inamuonyesha hivyo kwa basic hiyo ya 545 na increment ya 30k kwa mwaka.
Bhas kama hvyo hakuna ishu kama wengi tunavyojipa matumain et dip .anaaza 1M na kitu kama take home
 
Hutaki ujute mara mbili 😂😂😂 ungese sana yaan mtu unaweza ukapiga interview za utumishi hadi ukachoka na usitoboe make ukizingatia wahitimu kibao kama kumbi kumbi, wengine saa hv tumeona tuangalie mishe nyengine 🤒
Dah noma sana inakatisha sana tamaa,
Kama zile za ruwasa niliomba kishida shida kweli niko tanga nimekula mguu makorola hadi mjini office za ruwasa,
Hela enyewe ya kuchapa nimeunga unga mia mia kwa wasamalia dah,
Alaf simo 😁😁,
Mpaka nasema hii so mipango ya mungu hii mipqngo ya wat offisini wamepanga wat wao,
Kama ungekua mpango wa mungu na mi nngekuwemo maana msoto nlopitia hadi nimekusanya zile karatasi kaushuhudia kutoka juu..
 
Tukiambiwa vijana tutafute connection, tunasema we are depending on hardworking hayo ndio madhara ya kupoteza mda na rasilimali fedhwa.. Kwa dunia ya saa hv connection inamata zaidi ya jitihada
 
Pole tafuta uhamisho uhamie katika taasisi nyingine ta umma,internal transfer hahaaa
 
Kuna jamaa yangu alikuwa transport office katika halmashauri katafuta transfer kahamia chuoni sahivi nii tutorial assistant salary scale imebadilika yaani Kam una check number unaweza hamia taasisi yoyote ya umma komaa kutafuta transfer
 
Tatizo linakuja kwa Waajiri ni wagumu kupitisha uhamisho na pia ukiwa na connection kwenye taasisi unayohamia itakuwa rahisi kupata hiyo transfer
 
kuna dogo interview ya mwez wa kumi kaingia kwenye oral hata dakika 5 hajamaliza afu kapita mzee na njee aliniomba nimsaidie zile duties & rensponsibilities
Si utafute internal transfer mkuu
Tatizo linakuja kwa Waajiri ni wagumu kupitisha uhamisho na pia ukiwa na connection kwenye taasisi unayohamia itakuwa rahisi kupata hiyo transfer
Hapo Sasa ni kupambana, connection zinatafutwa hazijizenyewe huyo jamaa ninayemsema alipambana Sana akafanikiwa
 
Tukiambiwa vijana tutafute connection, tunasema we are depending on hardworking hayo ndio madhara ya kupoteza mda na rasilimali fedhwa.. Kwa dunia ya saa hv connection inamata zaidi ya jitihada
Ukiwa na connection jitihada duni siku anayekubeba akitoka unapossibility ya kuyumba
 
Hutaki ujute mara mbili [emoji23][emoji23][emoji23] ungese sana yaan mtu unaweza ukapiga interview za utumishi hadi ukachoka na usitoboe make ukizingatia wahitimu kibao kama kumbi kumbi, wengine saa hv tumeona tuangalie mishe nyengine [emoji855]
Ingieni kubet mpira, unaweza tajirika sekunde moja tu. Hata hii michezo ya casino ni bomba!
 
Ukiziangalia sayari zilivyo kwenye orbit, unaweza kuniambia juu ni wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…