donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hii gari ina level 2 za kuichargeWakuu,
Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme.
Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye swala la kuchaji, unaweza ukatumia power outlets za nyumbani kulichaji?
Maana nimejaribu kuangalia kwenye nchi za wenzetu kuna special power docking station maalum kwaajili ya kuchajia haya magari. Nawasilisha!
View attachment 2988315
Shukrani mkuuHata nyumbani unaweza kuchajia, tofauti ni kuwa, super charger (kucharge kwa haraka, ndani ya nusu saa tu iwe full charge kuweza kutembea labda zaidi ya 120km) ni mpaka kwenye hizo special power charging station ambapo kwa Tz ni chache sana tena kwenye mikoa michache.
Asante Sana mkuu nimekuelewa vyema kabisaHii gari ina level 2 za kuicharge
1. Level-1(Fast Charging port) hii unaitumia kwenye vituo special vya kuchani hizi gari na utatumia dakika 30 tu na gari ina kuwa full charged
2. Level-2 (Domestic Charging port) hii unatumia nyumbani kwako wakati ume-park gari lako, charger yake huwa inakuja na gari hivyo ni kiasi cha wewe kutengeneza socket outlet special inayoendana na hii adoptor inayokuja na gari. Njia hii inachukua masaa mpaka 8 ndio battery inakuwa fully charged.
Lakini kaa ukinua gari hii pia ina option ya kujicharge wakati unaendesha unaitwa REGENERATIVE BRAKING na speed ya kucharge inakuwa ya taratibu maana inafanya kazi ukiwa una brake hasa maeneo ya mjini ambapo kunakuwa na foleni kubwa.
NOTE: Hizi gari electric range yake ikiwa fully charged ni km 52 tu pia suala to joto hufanya level ya battery kuporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Pia mode hii ya electric inafaa tu maeneo ya mjini maana highway kama utakuwa speed zaidi ya 60km/hr basi hu-swich kwenda kwenye normal internal combustion engine.
Soko la EVs linaanguka huko marekani mauzo yanashuka. Watu wameanza nunua hybrids ambazo hazichajiwi yani zile mfano wa toyota prius ndizo watu wanapenda sasa hivi. Kama wataka hybrid nashauri tafuta ile isiyochajiwa mkuu na gari nzuri sana.Wakuu,
Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme.
Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye swala la kuchaji, unaweza ukatumia power outlets za nyumbani kulichaji?
Maana nimejaribu kuangalia kwenye nchi za wenzetu kuna special power docking station maalum kwaajili ya kuchajia haya magari. Nawasilisha!
View attachment 2988315
Nashukuru sana mkuu, umenipa kitu kipyaSoko la EVs linaanguka huko marekani mauzo yanashuka. Watu wameanza nunua hybrids ambazo hazichajiwi yani zile mfano wa toyota prius ndizo watu wanapenda sasa hivi. Kama wataka hybrid nashauri tafuta ile isiyochajiwa mkuu na gari nzuri sana.
Nimeona ni milioni 29 mkuuNa hii Gar mpaka kuimilik nikmaansha kila ktu kutia ndan kaisar wetu ina kias gan?
Asante mkuuBadala ya plug in hybrid basi tafute zile za kujichaji kwa wakati unatumia injini ya mafuta kiotomati.....
Nadhani hii inakuwa chaguo bora kwa mazingira yetu ambayo kwa sasa unaweza kuhitaji majenereta kupata umeme. Sa si bora ukachajia gari ndani kwa ndani. Lakini hali itakapobadilika maybe maana tunaambiwa kila siku kwamba tunao uwezo wa kuzalisha umeme mwingi kuliko mahitaji.
Kwa nini wananunua zaidi hybrids kuliko EVs wakati EVs ndio current technology?Soko la EVs linaanguka huko marekani mauzo yanashuka. Watu wameanza nunua hybrids ambazo hazichajiwi yani zile mfano wa toyota prius ndizo watu wanapenda sasa hivi. Kama wataka hybrid nashauri tafuta ile isiyochajiwa mkuu na gari nzuri sana.
1. Charging stations zinazingua unaambiwa mtu anafika kwenye charging station unakuta foleni au chargrr moja ndo ianfanya. Zile za kuchajia home si reliable.Kwa nini wananunua zaidi hybrids kuliko EVs wakati EVs ndio current technology?
Kwa nini wananunua zaidi hybrids kuliko EVs wakati EVs ndio current technology?
And another thing. Evs zikikuwa na subsides US ila wameziondoa kwa models kbaoKwa nini wananunua zaidi hybrids kuliko EVs wakati EVs ndio current technology?
Kwa maana hiyo gasoline bado tunae sana.1. Charging stations zinazingua unaambiwa mtu anafika kwenye charging station unakuta foleni au chargrr moja ndo ianfanya. Zile za kuchajia home si reliable.
2. Muda wa kusubiri though kuna fast charging tech now ndani ya nusu saa gari inaweza fika hadi 80% ila kutoka 80% to 100 it takes time wakat gasoline unaweka ndani ya dakika 1 tank limejaa.
3. Kutokana na uhaba wa charging station watu kuendesha wakiwa na wasiwasi
4. Batry ikiharibika gharama kuibadilisha ni kubwa sana.
So hybrids ambazo toyota amekuwa akizipush ndio imekuwa option maana hakuna masuala ya kucharge halafu zinakupa matumizi poa sana kwa mafta
US waliweka sheria kwa car dealers nadhani kufikia mwakanai 40% ya magari wanayouza yawe EVs, kuna nchi ya scandinavia yenyewe nadhan inataka kwenda full EV lakini ajabu ni kwamba mauzo yake kwa mara ya kwanza yameshuka huko US wakati hybrid mauzo yakipanda.Kwa maana hiyo gasoline bado tunae sana.
Sema watu wanaongea sana kuhusu EVs ila hata wazungu hawana shobo nazo kivile. Bado wanadunda na gasoline sana tu. Labda US ila ulaya bado yanayotumia gasoline ni mengi mno.