kalamu na karatasi Member Joined Jul 26, 2015 Posts 49 Reaction score 30 Jul 26, 2015 #1 Habari wakuu, Nimekuwa nikisikia kila siku katika maswala ya biashara na uchumi kwa ujumla kuwa kuna mtaji wazo na mtaji fedha.Kwa yeyote Mmenye umilisi na ubobezi katika haya atujuze zaidi tafadhali.
Habari wakuu, Nimekuwa nikisikia kila siku katika maswala ya biashara na uchumi kwa ujumla kuwa kuna mtaji wazo na mtaji fedha.Kwa yeyote Mmenye umilisi na ubobezi katika haya atujuze zaidi tafadhali.
Humilis JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 889 Reaction score 1,070 Jul 26, 2015 #2 Anza kwa kusearch thread mbalimbali kwa kuandika keyword ya kitu unachokitaka...Zipo thread nying zinazongumzia hayo mambo....!!
Anza kwa kusearch thread mbalimbali kwa kuandika keyword ya kitu unachokitaka...Zipo thread nying zinazongumzia hayo mambo....!!
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Jul 28, 2015 #3 Angalia juu hapo au nenda jukwaa la wajasiriamali kuna posts kibaoooo hadi utachoka mwenyewe