kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Habari wakuu,
Nimekuwa nikisikia kila siku katika maswala ya biashara na uchumi kwa ujumla kuwa kuna mtaji wazo na mtaji fedha.Kwa yeyote Mmenye umilisi na ubobezi katika haya atujuze zaidi tafadhali.