Naomba kujuzwa kuhusu mtaji wazo na mtaji fedha

Naomba kujuzwa kuhusu mtaji wazo na mtaji fedha

Joined
Jul 26, 2015
Posts
49
Reaction score
30
Habari wakuu,

Nimekuwa nikisikia kila siku katika maswala ya biashara na uchumi kwa ujumla kuwa kuna mtaji wazo na mtaji fedha.Kwa yeyote Mmenye umilisi na ubobezi katika haya atujuze zaidi tafadhali.
 
Anza kwa kusearch thread mbalimbali kwa kuandika keyword ya kitu unachokitaka...Zipo thread nying zinazongumzia hayo mambo....!!
 
Back
Top Bottom