Naomba kujuzwa kuhusu Sheria ya Ardhi Serikali za Mitaa

Naomba kujuzwa kuhusu Sheria ya Ardhi Serikali za Mitaa

Chalikidunda

Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
22
Reaction score
7
Samahani wanasheria wasomii, napenda kujua kuhusu sheria ya umiliki wa ardhi serikali la mitaaa, kwani tumekuwa tukiteswa na migambo na vuobgozi wa maendeleo kuhusu uharibifu wa mazibgira ,hata kama ukilima sehemu isiyokuwa ndani ya hidadhi wanakukamata na fine ni zaid ya laki 6.

Napenda kujuzwa kuhusu hizo sheria.
 
Mbona haieleweki?

Wewe eneo lako la ardhi liko wapi na lina mita za mraba ngapi na limepakana na eneo gani?

Ni eneo lenye mgogoro ama?

Yaani mgambo wanakuja tu kuwatandika watu?
 
Back
Top Bottom