tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
hiyo watakuwa wamekosea aisee na kuingia chaka, huwezi kuanza na aya ya 2 ikiwa hakuna ya 1Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo?
Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii ambayo aya ambayo iko labelled ni 2, na hakuna mtu anaye question aya namba 1 iko wapi.
Je, ni mimi nimekosea au kuna jamaa aliwaingiza chaka watumishi wa serikali, wameamua kukariri tu template iliyokosewa?
Elimu ya wapi hii?? Orr only in Tz🤣Namba moja Ni kichwa Cha barua.
I apologize for forgetting my first point.Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo?
Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii ambayo aya ambayo iko labelled ni 2, na hakuna mtu anaye question aya namba 1 iko wapi.
Je, ni mimi nimekosea au kuna jamaa aliwaingiza chaka watumishi wa serikali, wameamua kukariri tu template iliyokosewa?
View attachment 2494444