Naomba kujuzwa kwa anayefahamu biashara ya hewa ukaa

Enumerate!

Nchi zenye viwanda ambavyo huchafua hewa hununua misitu katika nchi zisizochafua hewa,hivyo hiyo misitu hununuliwa kwa lengo la kupunguza hewa ukaa,miti ya hiyo misitu huhifadhiwa na kuendelezwa kupandwa.

Kiufupi wananunua haki ya kuchafua hewa kupitia uwepo wa misitu,hivyo kama una msitu wako umeuhifadhi na kuutunza fika nemc au wizara ya mazingira utapata utaratibu wa kufanya biashara hiyo ya hewa ukaa
 
Cheki na taasisi ya Carbon Tanzania kwa info zaidi.
 
Mara nyingi msitu wa kutoa hewa kilo moja kwa mwaka ni kama hekta 7 hivi, ni biashara nzuri ukiwa na hekta 70 kwa mwaka unaweza kupata hewa kilo 20 ambayo ni milioni 700 hiyo
Mkuu asante kwa maelezo, lakini napenda kujua msitu uwe na miaka mingapi toka kupanda? Je ni mti wowote? Kuna neema naiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…