Naomba kujuzwa kwa anayefahamu biashara ya hewa ukaa

Mkuu,Carbon Trading au Biashara ya hewa ukaa inahusika zaidi na Kufanya kitu kinaichwa Carbon Offsetting.Inakuwa na masoko ya aina mbalimbali ambapo kampuni inayozalisha hewa ukaa pamoja hewa nyingine Chafuzi za mazingira inafanya Offsetting ya uchafuzi kwa kulipia uhifadhi wa mazingira.

Hili kufanya hivyo unaweza kuwa na miradi inayohamasisha matumizi ya Nishati endelevu,Usafishaji wa mazingira na uhifadhi wa mazingira kwa ujumla wake.Ili kuamua Bei ya hizi Carbon Credit inabidi uoneshe kwa takwimu za uhakika na kwa kiasi gani shughuli zako zinachangia katika uondoshaji wa hewa chafu uhifadhi wa mazingira n.k.Kipimo hicho kitatumika kuamua bei ya hizo Offset Credits ambazo sasa uaweza kuziuza katika masoko ya aina tofauti.Kwa sasa hivi hii ni fursa ingawa hata hivyo bado elimu inahtajika ili kueleweka zaidi.Hata hivyo kama unapenda kuingia katika eneo hili unaweza kkuwasiliana nami zaidiili tuweze kushirikishana zaidi kuhusu fursa hii ambayo nami ninaitazama kwa jicho la kibiashara.
 
Kuna Mwamba mmoja alinicheka na Alisema kama wewe. Nilivyompa idea akabaki anani blue 🔵🔵 tick. Pumbaaaavu yule mshenzi
 
Msitu una kuwa na umri gani
Miaka kumi iliyopita nilishiriki hili zoezi na watalaam toka SUA, tulizurula Njombe, Kilolo, Makete na Mufindi, kama ingefanikiwa ile kazi, labda Wakinga wengi wangekuwa kundi la Dangote. Kilichokuwa kinafanyika tukifika shambani ilikuwa ni kuchukua sample za miti kwenye shamba la mkulima, tunapima diameter, wanachukua umri wa mti na aina yake na urefu. Hizi data zilitumika kutafuta kiasi cha CO2 kilichovutwa na ule mmea toka angani. Hesabu zake zilikuwa balaa. Baada ya zoezi, taarifa zikaenda ofisi VP mazingira, ndo ikawa mwisho wa hadithi yetu pendwa.

Mahitaji muhimu ili upimiwe na ulipwe hewa ya ukaa.
1. unatakiwa uanzishe shamba sehemu ambayo haikuwa na miti, jangwa au grassland ili tuone kweli hewa umevuta
2. Hakikisha shamba lina cordinates na lina hati kubwa, siyo za kimila ( tulikwamia hapa)
3. Documents zote za umiliki wa shamba ziwe zimenyooka, wazungu ambao ndio madalali hawataki mbambamba ( Rabo bank kwa sasa ndo naona wanatia team)
4. Kwa mtu binafsi, msitu wa kuotesha mwenyewe ndo wenye deal, vijiji vinatumia misitu ya kiasili zaidi.
5. Kama msitu wako unaharibu mazingira hupati hela.

Kwa wenye ujasiri, mtafuteni Mkuu wa mkoa wa Dsm, Bwana Chalamila, alipokuwa Kagera alizindua biashara hii kule.
 
Mara nyingi msitu wa kutoa hewa kilo moja kwa mwaka ni kama hekta 7 hivi, ni biashara nzuri ukiwa na hekta 70 kwa mwaka unaweza kupata hewa kilo 20 ambayo ni milioni 700 hiyo
Wanatumia kipimo gani kujua uzito wa hewa husika?
 
Nchi zenye viwanda ambavyo huchafua hewa hununua misitu katika nchi zisizochafua hewa,hivyo hiyo misitu hununuliwa kwa lengo la kupunguza hewa ukaa,miti ya hiyo misitu huhifadhiwa na kuendelezwa kupandwa.

Kiufupi wananunua haki ya kuchafua hewa kupitia uwepo wa misitu,hivyo kama una msitu wako umeuhifadhi na kuutunza fika nemc au wizara ya mazingira utapata utaratibu wa kufanya biashara hiyo ya hewa ukaa
Kwa Nini wasiweke wazi kwenye public Kila kitu kama uchawi ooh fika ofisini utaelekezwa rushwa rushwa rushwa
 
Naomba kujuzwa kwa anayefahamu biashara ya hewa ukaa atujuze hapa
Japo Nimechelewa But kwa ufupi Sana Hii Ni Biashara Inayolenga Kuweka Mlinganyo Sahihi Kati ya Viumbe hai Vya Aina Mbili Ambavyo ni wanyama Na Mimea, Viumbe Hivi Vinategemeana Katika Kuishi Na Ukuaji Mimea ina Sifa Ya Kuvuta Hewa Ya Ukaa Na Pia Wanyama Wanavuta Hewa ya Oksijen Ambayo Inatoka Kwa Mimea. Kulingana Na Shughuli Za Kibinadamu Kuchangia Mabadiliko Makubwa Ya Tabia ya nchi Hivyo kumekuwa na Ongezeko Kubwa la Hewa za Ukaa, Ambalo Kimsingi Ikiongezeka Ina Madhara Mengi Kuliko Faida Ilizonazo

Kumbuka Hewa Ya Ukaa au CO2 Sio Hewa Mbaya ina faida Nyingi tu,,, Lkn Ikizidi Ina madhara pia yapo ambayo Yalishaonekana Na yanategemewa kuja Mengi Zaidi, So ili Kunusuru Hili Yapo Makampuni From Developed country Yameifanya hii Kuwa Biashara kwa Mfumo huu.

Ukiwa na Msitu Wa Kwako Wa Asili Utafuata hatua Ili uweze kusajiliwa na kulipwa Kwa Kila Mti Utakaokuwepo Shambani Kwako,,

Njia Ya Pili Ambayo Ndo Bora zaidi Ni Tafuta kampuni Inayosimamia Ununuaji Wa Hewa hiyo Ya Ukaa mfano Kwa Ukanda Wa Kusini Iringa zna Njombe Kuna Kmapuni Inaitwa (One Acre Fund) Upande Miti Kwenye Eneo Ambalo Halikuwa Na Miti Then Baada Ya Miaka Mitatu utaanza Kupokea Malipo Ya Miti Yako Yote iliyoko Shambani.
 
Attachments

Good.Be Blessed
 
Back
Top Bottom