Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Nakumbuka iliwahi kwenda huko miaka ya nyuma ila wakaacha, wanaishia Moshi tu.Kama tuonavyo kwa sasa Fiesta inaenda mikoa mingi hadi mikoa midogo kama Singida na baadhi ya wilaya kama Kahama na Muleba, so hainiingii akilini ni kwanini waache kwenda mkoa mkubwa wenye fursa kibao kama Arusha. Eti machalii wa R mlimfanya nini Ruge? Au mnamtisha na mibangi yenu?
 
Tatizo ni kitu cha arusha kikiwapanda watu ndo vurugu haziishi
 
Macharii wa arusha wanapenda zile nyimbo zao,

"Kimbau mbau kanenepa kawa tuku nyema[emoji443] " sasa nyimbo gani hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui na nyingine inaimbwa mamong'oo macharee machhaa sijui nn mi sielewi hawa jamaa wa arusha cjui wanatumia bangi kama mboga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ya ngaramtoni na donyosambu tunakulaga kama mboga
 
Lakin zanzibar ni kwa sababu ya dini sio vurugu wapole sana wale watu yakhee
Wale washkaji wakifika kila mkoa huwa wanatumia viwanja vya mpira, sasa kwa zanzibar walikuwa wanatumia ngome kongwe, kutokana na udogo wa ngome kongwe kunasababisha ukumbi usiingie watu wengi, ndomana ikawa vile,
na nahisi wamebaniwa kupewa uwanja wa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…