screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Nakumbuka iliwahi kwenda huko miaka ya nyuma ila wakaacha, wanaishia Moshi tu.Kama tuonavyo kwa sasa Fiesta inaenda mikoa mingi hadi mikoa midogo kama Singida na baadhi ya wilaya kama Kahama na Muleba, so hainiingii akilini ni kwanini waache kwenda mkoa mkubwa wenye fursa kibao kama Arusha. Eti machalii wa R mlimfanya nini Ruge? Au mnamtisha na mibangi yenu?