Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Sasa c bora mkoa mdogo kuliko wewe kusema Arusha hakuna fiesta wakati wkend hii ipo huko. Looks like unaishi porini wewe!
Watu wa porini ndio wana muda sana wa kusikiliza redio wanapokuwa shambani, na wewe ni mmoja wao
 
Tatizo vijana wa Arusha wanaingia naToolbox kwenye starehe utadhani vita. Kesi za kuchomana bisibisi.
 
October tar 1 Imoooooo arusha hapo uwanja wa sheikh karume stadium
 
Hahahahaha arusha hapa kwanza fiesta inatakiwa ilete wasanii wa hip hop. Mabongo flava hayapandi kbs.

Hlf tukaguliwe wkt wa kuingia tusalimishe silaha chini.
 
Arusha haiwezi kuja fiesta wala kili music award cos mara ya mwisho kuja arusha kulitokeaga fujo na wakinadada wengi walibakwa hivyo ilitolewa kama adhabu kama sikosei ni hadi miaka 5 iishe

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Arusha hakuna waunii weng kwnz wana vurugu sana nakumbuka roma alivuliwa viat aki perfm kwny stage
 
Simnajua kwa sasa Fiesta ilivyo maaskari wanajaa mpaka kero dah...!!

Yani hata watu wasijali hakuna fujo
 
Ahsante kwa kunirekebisha ndo Huyo unayemjua alishafika huku miaka mngi sana na ana hotel yaake uko kandokando ya ziwa Tanganyika ni nzuri in hotel ya kitalii
Hahahaaa unazungumzia lake shore? Mi nilifika kipili na kirando ndio nikaskia shoziniga nae alitimba pande hizo ingawa hata wenyeji wa pale kipili nao wanaskia kuwa anodi alitimba sasa nikashangaa mi mgeni naskia na wenyeji nao wanaskia sasa nani alimuona?
 
Kimbau mbau kanenepa kawa tukunyema!!!!
.
mbululu mbululu mbululaaa eeeeh eti nichek bbm kuumbe? Hahahahah
CHUGA IMOOO
 
Mkuu this time IMOOOOOOOO kama naaona Vile wakina Odinali, Weusi na jamaa kibao nadhan itakua Tarehe moja mwezi wa 10 kama sjakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…