Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Arusha haiendi kwasababu hawaendi mikoa yote
 
Iyo apo
 

Attachments

  • 1474870466429.jpg
    1474870466429.jpg
    102.4 KB · Views: 42
Nakumbuka iliwahi kwenda huko miaka ya nyuma ila wakaacha, wanaishia Moshi tu.Kama tuonavyo kwa sasa Fiesta inaenda mikoa mingi hadi mikoa midogo kama Singida na baadhi ya wilaya kama Kahama na Muleba, so hainiingii akilini ni kwanini waache kwenda mkoa mkubwa wenye fursa kibao kama Arusha. Eti machalii wa R mlimfanya nini Ruge? Au mnamtisha na mibangi yenu?
Wewe Mkoa wa Singida sio mdogo kama unavyodhania. Inaonekana upo nyuma sana kwa habari za tz au huna gari ya kutembelea unapoenda mikoani so unaishia kuona stand ya bus na barabarani tu. Kwa taarifa yako mkoa wa Singida kwa sasa upo juu ya mikoa mingi sana hapa tz.
 
Acha ujinga wewe, Mkoa wa Singida sio mdogo kama unavyodhania. Inaonekana upo nyuma sana kwa habari za tz au huna gari ya kutembelea unapoenda mikoani so unaishia kuona stand ya bus na barabarani tu. Kwa taarifa yako mkoa wa Singida kwa sasa upo juu ya mikoa mingi sana hapa tz.
Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua kwamba unaishi kwenye hako kamkoa kadogo
 
Chuga tuna ma mc'z wetu kama Chindo man, Yuzzo na JCb kutoka Utengwani vyema wakawapa nafasi ya kuperform kuliko kutuletea wakina Man fongo au Sholwe bwenzi lazima kitanuka tu
 
Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua kwamba unaishi kwenye hako kamkoa kadogo
Sasa c bora mkoa mdogo kuliko wewe kusema Arusha hakuna fiesta wakati wkend hii ipo huko. Looks like unaishi porini wewe!
 
Macharii wa arusha wanapenda zile nyimbo zao,

"Kimbau mbau kanenepa kawa tuku nyema[emoji443] " sasa nyimbo gani hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sijui na nyingine inaimbwa mamong'oo macharee machhaa sijui nn mi sielewi hawa jamaa wa arusha cjui wanatumia bangi kama mboga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wimbo mmoja wa "" Digi digi"
 
Back
Top Bottom