Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Kumleta nuh mziwanda ,Baraka deprince Cjui manfongo na walegevu wengineo nikutafuta kufungiwa miaka mitano mingne tenaa. Na walitufungia mda mrefu namna hyooo? Labda tamashaa lianzee asubuh ya sambilii nakuisha sakumi nambilii.
 
Hii kitu ya Arusha hainaga ushemeji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Fiesta arusha ni tarehe 1 October
Vijana wa Arusha nao wawe na watulivu.
Matamasha ya namna hii wayatumie kama fursa na si kuoneshana ubabe.
Mambo ya ubabe kwa vijana ni mambo ya kizamani.
Arusha ni pazuri na kuna fursa nyingi sana.
 
Kwenye disko zao tu watu wanaingia kudance wakiwa na visu na mapanga
 
Hiyo fiesta mnayoidai inatija gani kijamii ,kiakili na kiroho?
Badala ya mijadala yenye kulitoa Taifa kutoka hatua A kwenda B,cyber crime na Mswada Wa ccm dhidi ya maono yatokayo kwa Raia yamewekwa kama zile enzi za " Baraza la waliomsulubu Isaac Newton"

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Chuga aliletwaga msanii kwenye Fiesta akapigwa madole jukwaani hawakurudia tena hahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] machalii wa ara wana njaa atareeee
 
Back
Top Bottom