Ni kweli nakumbuka walipora sana ile sikuu na kujeruhi watu ndo maana wakawa hawaleti fiesta Arusha.Waliacha kwenda kwa sababu ile fiesta ya mwaka 2011kama sikosei,machalii waligeuza uwanja wa Shekh Amri Abed ilipofanyika Fiesta kuwa Bucha kwani machalii walichomana visu na kujeruhiana.
Vijana wa Arusha nao wawe na watulivu.Fiesta arusha ni tarehe 1 October
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ije he!
Mroge wasanii waimbe mwaka mzima waone ni usiku mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] machalii wa ara wana njaa atareeeeChuga aliletwaga msanii kwenye Fiesta akapigwa madole jukwaani hawakurudia tena hahah
Anakuja kuwafumbua wanachuga kua sikuhizi hainaga ushemejiManFongo Chuga wa nini?
Huyo namjua, sasa ndo nashangaa kafikafikaje huko.Halafu alikuwa Gavana sio Seneta
Ahsante kwa kunirekebisha ndo Huyo unayemjua alishafika huku miaka mngi sana na ana hotel yaake uko kandokando ya ziwa Tanganyika ni nzuri in hotel ya kitalii