Naomba kujuzwa kwanini Fiesta haitimbi Arusha

Vp mzee mbona unatuquote na empty comment?
 
Ujinga ni kutokujitambua, wewe ni mmoja wapo unayetegemea kila jukwaa la JF linamdiscuss Mbowe na Magufuli
 
Naomba hao waandaji wa Fiesta wasijaribu kuonesha mahaba kwa chama cha Kijani....Itakula kwao
 
Kumleta nuh mziwanda ,Baraka deprince Cjui manfongo na walegevu wengineo nikutafuta kufungiwa miaka mitano mingne tenaa. Na walitufungia mda mrefu namna hyooo? Labda tamashaa lianzee asubuh ya sambilii nakuisha sakumi nambilii.
Nadhani watakuwa wamekuelewa..
 
Halaf mwambie atofautishe mkoa na mji...kama ni udogo wa mikoa basi Dar ni mkoa mdogo kuliko yote TZ lakini ni jiji kubwa kuliko yote!
 
1. Unazungumzia ukubwa au udogo wa mikoa au miji/majiji?
2. Unapozungumzia udogo au ukubwa unatumia kigezo kipi - ukubwa wa eneo au wingi/idadi ya watu, kuku au ng'ombe?
 
Ila uongo mbayaaaa waandaaji walikosa pato kubwa kwa kutokufanya tamasha arusha..
 
Hahah eti mibangi yenu hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…