Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

Huruhusiwi kuuliza hili swali, watoto wadogo ndio wana swali kama hili...!! Ukikuwa utaacha..

Jikite kwenye mada, jibu suala la ushoga, kama huwezi keep shut. Nyoko kabisa.
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮 kila mtu anauhuru unanipangia mawazo!
 
Huko
Hata sasa hivi ni rahisi kupatwa na maambukizi ya Virusi kwa anal sex kuliko Vaginal sex

Lakini lengo zaidi ni Population control Shoga hazai.
Huko ulaya ndo kumejaa hio jamii kwa nini hamna ukimwi kama afrika?
 
Huko

Huko ulaya ndo kumejaa hio jamii kwa nini hamna ukimwi kama afrika?
Hata Afrika Ushoga umejaa nenda Mombasa Malindi Lamu.

Ukimwi ni Man Made kwa lengo la kupumguza idadi ya watu Duniani na Eugenics walipitia humo humo kwa kuwa Muafrika anapemda Ngono sana na huwa wanasema kuwa sisi Waafrika tuna High sex drive kwahio kirusi kitatumaliza sisi zaidi
 
Wazungu wapo bright sana bt sometime wanamambo ya kishamba sana,unafikiria mpka kichwa kinauma sijui wanawaza nn
Na wazungu ndiyo waliyo install Bible katika Jamii za ulimwengu na kusambaza ambayo inavifungu vya kukataza na kukemea vikali suala hili nadhani wanatamani zoezi lao lijirudie upya ili waweke vifungu ovu, but it's too late.
 
Hata Afrika Ushoga umejaa nenda Mombasa Malindi Lamu.

Ukimwi ni Man Made kwa lengo la kupumguza idadi ya watu Duniani na Eugenics walipitia humo humo kwa kuwa Muafrika anapemda Ngono sana na huwa wanasema kuwa sisi Waafrika tuna extra sex drive kwahio kirusi kitatumaliza sisi zaidi

Wajinga ndio waliwao kama ni hivo hakuna wa kumlaumu
 
Na wazungu ndiyo waliyo install Bible katika Jamii za ulimwengu na kusambaza ambayo inavifungu vya kukataza suala hili nadhani wanatamani zoezi lao lijirudie upya ili waweke vifungu ovu, but it's too late.

Mkuu Biblia imetokea Israel...hao wazungu nao walikua wanaabudu mizimu kama waafrika

Biblia inakataza tabia zote ovu ikiwamo na hizo

Soma Warumi 1 utaelewa zaidi
 
Mkuu Biblia imetokea Israel...hao wazungu nao walikua wanaabudu mizimu kama waafrika

Biblia inakataza tabia zote ovu ikiwamo na hizo

Soma Warumi 1 utaelewa zaidi
Nilimaanisha ndiyo waliweka mkazo katika kusambaza ulimwenguni katika ku crack local belief easily, nikimaanisha kwa agenda yao hii wangelikuwa nayo toka kitambo wangelibadilisha vifungu kadhaa wa kadhaa na kuviweka katika mazingira yao kwa kadri ya hila zao ovu,although katika akili ndogo kabisa ya kawaida their case are unacceptable!
 
Nadhan mashoga wakiwa wengi kizazi cha wanaume kitapotea hivyo itakuwa ngumu kuongezeka na kumzalisha mwanamke wamejaribu kuleta maradhi mengi lakin wameshindwa wanakuja n plan ambayo ni ngumu sana na itakuwa rahisi kutawala kama hamna wanaume fikiria tu rais wako akiwa punga inakuwaje itakuwa anaongozwa
 
NI kuiharibu tu DUNIA hakuna kingine.na kumpinga MUNGU.
Wanaona mkifanya mapenzi mwanamke na mwanaume dunia itajaa watu.sasa ili mpungue mnatakiwa mfanye wenyewe kwa wenyewe.ili NEW WORLD ORDER itimie.
 
Back
Top Bottom