Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ kila mtu anauhuru unanipangia mawazo!Huruhusiwi kuuliza hili swali, watoto wadogo ndio wana swali kama hili...!! Ukikuwa utaacha..
Jikite kwenye mada, jibu suala la ushoga, kama huwezi keep shut. Nyoko kabisa.
Mbona hujibu swali nchi wajinga hiiKufata mkumbo, porn, kujaribujaribu kila kitu na ulimbukeni. Picha chafu zimeleta balaa kwa kizazi hiki
Huko ulaya ndo kumejaa hio jamii kwa nini hamna ukimwi kama afrika?Hata sasa hivi ni rahisi kupatwa na maambukizi ya Virusi kwa anal sex kuliko Vaginal sex
Lakini lengo zaidi ni Population control Shoga hazai.
Hata Afrika Ushoga umejaa nenda Mombasa Malindi Lamu.Huko
Huko ulaya ndo kumejaa hio jamii kwa nini hamna ukimwi kama afrika?
Na wazungu ndiyo waliyo install Bible katika Jamii za ulimwengu na kusambaza ambayo inavifungu vya kukataza na kukemea vikali suala hili nadhani wanatamani zoezi lao lijirudie upya ili waweke vifungu ovu, but it's too late.Wazungu wapo bright sana bt sometime wanamambo ya kishamba sana,unafikiria mpka kichwa kinauma sijui wanawaza nn
Hata Afrika Ushoga umejaa nenda Mombasa Malindi Lamu.
Ukimwi ni Man Made kwa lengo la kupumguza idadi ya watu Duniani na Eugenics walipitia humo humo kwa kuwa Muafrika anapemda Ngono sana na huwa wanasema kuwa sisi Waafrika tuna extra sex drive kwahio kirusi kitatumaliza sisi zaidi
Na wazungu ndiyo waliyo install Bible katika Jamii za ulimwengu na kusambaza ambayo inavifungu vya kukataza suala hili nadhani wanatamani zoezi lao lijirudie upya ili waweke vifungu ovu, but it's too late.
Nilimaanisha ndiyo waliweka mkazo katika kusambaza ulimwenguni katika ku crack local belief easily, nikimaanisha kwa agenda yao hii wangelikuwa nayo toka kitambo wangelibadilisha vifungu kadhaa wa kadhaa na kuviweka katika mazingira yao kwa kadri ya hila zao ovu,although katika akili ndogo kabisa ya kawaida their case are unacceptable!Mkuu Biblia imetokea Israel...hao wazungu nao walikua wanaabudu mizimu kama waafrika
Biblia inakataza tabia zote ovu ikiwamo na hizo
Soma Warumi 1 utaelewa zaidi