Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
76
Reaction score
81
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.

Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
 
Mkuu kuna loge iko darajani Kama unatokea ubungo upande wa kushoto iko manzense darajani iko POA Sana iko ndani kidogo kutoka barabarani nikija dar Mara nyingi napenda kulala hapo jina silijui vizur bt ni pazuri room elfu 20 pasafi alafu pametulia sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Inaitwa Kifaru Mkubwa Lodge
 
Wanyachusa mkija mjini huwa mnapenda sana kuvaa mashati yenu ya maua maua na suruali za vitambaa
[majeje]
badilikeni na muache kuongea na simu kwa sauti kubwa utafikiri mnahubiri
hakuna lodge ya bei hiyo bei zinaanzia laki na nusu hutaki unaacha.
 
Lala Muro hapo, chenye AC 20k kisio na AC 15k

1000123370.png
 
Back
Top Bottom