Teh teh! Comment za wadau sasa.
Ushauri wangu:
Sijajua utafika muda gani, kama ukifika usiku hapo darajani uliza kwa mkwere, weka begi lako counter hapo agiza bia kunywa mdogo mdogo kwa kunusa kama IST mpaka asubuhi hazitazidi bia 5 ila wanazo ndogo tu na ni sh 2000.
Ikifika asubuhi chukua begi lako nenda CHAUMA kapige uswaki oga.
Hii tekniniki nimewahi kutumia Dodoma pale chako ni chako nilifika usiku kama saa 6, kulala lodge nikaona hasara. Nikaenda kwa mhudumu nikaweka begi nikala kuku na bea mpaka asubuhi.