Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

Atajutia nini?
Hujaona kaandika kuwa atajutia kumpa hela ya basi ALL Kamwe then akawatafutia daladala za Bonyokwa safari ya almost 2000 Km?? Kwenda na kurudi km 4,000 umejikunja kwenye costa?? Kwanini usijutie Ally Kamwe?
 
Teh teh! Comment za wadau sasa.
Ushauri wangu:
Sijajua utafika muda gani, kama ukifika usiku hapo darajani uliza kwa mkwere, weka begi lako counter hapo agiza bia kunywa mdogo mdogo kwa kunusa kama IST mpaka asubuhi hazitazidi bia 5 ila wanazo ndogo tu na ni sh 2000.

Ikifika asubuhi chukua begi lako nenda CHAUMA kapige uswaki oga.
Hii tekniniki nimewahi kutumia Dodoma pale chako ni chako nilifika usiku kama saa 6, kulala lodge nikaona hasara. Nikaenda kwa mhudumu nikaweka begi nikala kuku na bea mpaka asubuhi.
 
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.

Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
nenda nyuma ya tip top lounge kuna hotel bei zake 20k
ila usilewe pale online wakakupiga
 
noma sana kwa mkwere pale
 
wamepandisha lini mara ya mwisho nilikula castle ndogo 1700
 

Huyo ni mimi kabisa.😀
Hapo chako ni mwendo wa kuku na bea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…