Naomba kujuzwa mabilionea wanaopatikana jamii forum

Naomba kujuzwa mabilionea wanaopatikana jamii forum

Umeshindwa nini kusema hata ni kiasi gani unahitaji kwa hayo unayotaka kufanya.

Ukiwajua ndio uwaibie, uliyoyaandika hayaendani na mtu aliye tayari na pendekezo lililokaa vizuri kuzalisha.

Una yako wewe
 
Wakuu tukiwa TUNAELEKEA Mwisho WA mwaka Mwenzenu Nina shida FULANI Nataka nitoke kwenye maisha yaani na maana niuage Umaskini 2017. Kwa kutazama naona msaada pekee niliobakisha ni members WENZANGU WA jf. Naulizia tu nitajiwe mabilionea au wenye mamilioni ya hela ili niwafuate pm Kwa sababu Nina mipango mingi kishenzi tatizo ni hela tu. So kama unajijua wewe ni bilionea Naomba uni pm nikupe mchongo pengine unaweza kunisadia.natanguliza shukrani wenye MAHELA mengi mengi Kuanzia million 300 wani pm au nitajiwe majina Yao niwakute HUKOHUKO pm. Nimejitoa Kwa kutanguliza shukrani
Ninazo ila ni zile za masharti utaweza?[emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji15] [emoji23]
 
Ninazo ila ni zile za masharti utaweza?[emoji144] [emoji144] [emoji24] [emoji15] [emoji23]
[emoji109] [emoji109] [emoji12] kama katika list ya masharti haipatikani vifungu visivyo husisha ngono, kafara basi Nipo tayari tena tayari Sana. Nipo tayari ntaweza kuweza
 
Back
Top Bottom