Naomba kujuzwa mabilionea wanaopatikana jamii forum

Naomba kujuzwa mabilionea wanaopatikana jamii forum

Kinachoniacha hoi ni kua umejiunga Disemba 13/2016 leo tayari ushawajua vilaza wa JF.

Au wewe ni multiple Id?
Ghafla pametokea na wimbili la wakongwe kumiliki multiple ID.
Yaani sijajua nini hasa lengo la hizi mambo

Kinachoniacha hoi ni kua umejiunga Disemba 13/2016 leo tayari ushawajua vilaza wa JF.

Au wewe ni multiple Id?
 
Mm hapa faru John. Sio wa sport sport. C umeona nimeanza kujenga airport kubwa na ya kisasa kwetu.
NiPM
 
Back
Top Bottom