Naomba kujuzwa mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa EA hatutaweza kuyamudu?

Naomba kujuzwa mafuta yatakayochimbwa Uganda sisi watu wa EA hatutaweza kuyamudu?

Ndio uzito wa fikra za Hawa viongozi badala ya kujenga refinery wanaexport na baadae wataimport kwa Dola aiseee very wonderful
Ni kama tu tunavyowauzia Pamba.

Ukiona Wachina wanatugombania basi ujue ni kwa sababu sisi ni Wazuri sana....anawaonea wivu Wazungu.
 
Unaongelea mafuta na mipango kibao ya mafuta utafikiri nawe unahusika na hiyo miradi ya watu, acha ujinga.
Mtu kaanzisha mradi wake wewe unawaza kwenda kuyanunua, kwani umeambiwa yanauzwa?

Unaongelea mafuta na mipango kibao ya mafuta utafikiri nawe unahusika na hiyo miradi ya watu, acha ujinga.
Mtu kaanzisha mradi wake wewe unawaza kwenda kuyanunua, kwani umeambiwa yanauzwa?
It's better to be quiet.tunashauriana yanayoshindikanana na yanayostaajabisha.
 
It's better to be quiet.tunashauriana yanayoshindikanana na yanayostaajabisha.
Acha kujihusisha na yasiyokuhusu, achana nayo. Nigeria wana mafuta kibao lakini watu wanapanga foleni Kilometa nzima kutaka hayo mafuta.
Achana na hiyo kitu kabisa, hiyo mizigo ni ya watu ...viongozi wetu nibkutuingiza chaka tu.
Umesahau ya gesi ya Mtwara wewe au bado ni mtoto mdogo
 
Back
Top Bottom