Ni kama tu tunavyowauzia Pamba.Ndio uzito wa fikra za Hawa viongozi badala ya kujenga refinery wanaexport na baadae wataimport kwa Dola aiseee very wonderful
Hatuzungumzii mambo ya refinery mazee unachanganya mada. Soma hoja kwanza.Aliko dangote kashajenga tayari miongoni mwa biggest crude oil refinery duniani. Ipo top 10 among bigger oil refinery in the world sio mda wataanxa kuyachakaka wenyewe. Nchi kibao Africa mbona Wana oil refinery
Unaongelea mafuta na mipango kibao ya mafuta utafikiri nawe unahusika na hiyo miradi ya watu, acha ujinga.
Mtu kaanzisha mradi wake wewe unawaza kwenda kuyanunua, kwani umeambiwa yanauzwa?
It's better to be quiet.tunashauriana yanayoshindikanana na yanayostaajabisha.Unaongelea mafuta na mipango kibao ya mafuta utafikiri nawe unahusika na hiyo miradi ya watu, acha ujinga.
Mtu kaanzisha mradi wake wewe unawaza kwenda kuyanunua, kwani umeambiwa yanauzwa?
Acha kujihusisha na yasiyokuhusu, achana nayo. Nigeria wana mafuta kibao lakini watu wanapanga foleni Kilometa nzima kutaka hayo mafuta.It's better to be quiet.tunashauriana yanayoshindikanana na yanayostaajabisha.
Dangote ameweza nini kinafanya nchi zishindwe?kaka ukishachimba crude oil (Mafuta ghafi) kuyaprocess mpaka yawe tayari kutumika Eg. petrol, diesel Jet A sio kazi ndogo
Dangote ameweza nini kinafanya nchi zishindwe?angote
Dangote kajenga wapi hicho kiwanda?