Niliwahi kuapa kwamba sintokaa niishi Tabora, mwaka juzi nilipo kuja kumtembelea wife kikazi.....
Nilikuta mji umebadilika kqa kiasi kikubwa sana, hadi ikapelekea nifanye maamuzi ya kujenga kabisa.
Mkuu....
Binafsi niloshangaa kukuta Tabora kuna watu wameshusha apartments za maana na hizo ghorofa nimezikuta hadi Uledi kwa Warange hadi Ipuli ya Kazuge huko watu wamenyenyua maghorofa.