ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimeishia sana Nzega na Igunga sijawahi fika Tabora.
Sijui ni ushamba wangu ila kipimo cha mji kuwa mzuri kwangu mimi ni majengo mazuri marefu.
Kwa Tabora kupoje maghorofa marefu ni ya nini yana floor ngapi?
Ofisi gani za serikali mpya na je mitaa ya kishua ni ipi huko Tabora kuna maghorofa?
Je kuna uswahili Tabora?