Imaitwa Autophix OM129. Gharama hadi kisafirisha sijazifuatiliaHii model name yake ni ipi!? Na je hiyo euro ni mpaka inanifikia mie mkononi haluna gharama nyingine!? Functions zake ni zipi, ukiweza niorodheshea itakuwa rahisi.
Wazo zuri mno... Jitahidi ulitimize. Magari ya sasa sio ya spana tena na kuna baadhi hata ukibadili tu betri inabidi kuchomeka mashine kuondoa errors
Kwa kawaida vile vya bei rahisi huwa havina uwezo mkubwa kama vyenye bei kubwa, swala siyo jina. Yaani ni sawa na simu mfano, simu zote tunaweza kutumia kupiga lakini yakija mambo mengine makubwa ktk matumizi ya simu, zile zenye bei juu ndiyo zinafanikisha kuliko za bei chee.
Imaitwa Autophix OM129. Gharama hadi kisafirisha sijazifuatilia
Wazo zuri mno... Jitahidi ulitimize. Magari ya sasa sio ya spana tena na kuna baadhi hata ukibadili tu betri inabidi kuchomeka mashine kuondoa errors
Mashine zipo kuanzia laki moja (online shopping) mpaka million mbili... Lakini kwa kuanzia unaweza kupata hata ya laki mbili sio mbaya
Jr[emoji769]
Hii inauzwa laki 5View attachment 1401461View attachment 1401462View attachment 1401463View attachment 1401464
Jr[emoji769]
Hii inauzwa laki 5View attachment 1401461View attachment 1401462View attachment 1401463View attachment 1401464
Jr[emoji769]
Unajua, wafanyabiashara wote duniani wanataka kujiongezea faida na faida. Hivyo hata watengeneza magari, walipoanzisha huu mtindo wa computer kwenye gari (USA), idea ilikuwa mwenye gari lazima alipeleke kutengenezea kwa mtengenezaji hata kwa kitu kidogo. Ndiyo EU wakaona kuwa siyo haki kumfanyia mtumiaji na kuweka hii sheria ambayo ilipelekea kuanzishwa kwa hiyo generic OBD 2 system ambayo watengeneza magari wote walitakiwa kuitumia.Sahihi kabisa mkuu, nilitaka kujua bora zaidi, si unajua sitaki mambo ya kubahatisha mzee mwenzangu nataka nifanye vitu kiuhakika, sio nanunua dubwasha nakuja kupiga nalo picha tu huku.
Hizi mashine zipo za aina mbili au zaidi. Kuna ambazo unachomeka kwenye gari halafu inatumia bluetooth kuwasiliana na simu/ laptop, ambapo humo unapakua software yake ndipo ifanye kazi. Aina hizo huwa zinakuwa na updates kwa kuwa zinasoma kutokea kwenye servers za hao wenye huo mfumo. Aina ya pili ni ya hand held device ambayo imekamilishwa kuwasiliana na OBD/ gari na kukupa jibu, hizo hazihitaji update.
Mpaka inifikie bongo!?
Mimi ni fundi,na nime base kwenye diagnosis na programming tu.kwa european cars,
Nina muda mrefu kwenye hii kazi,ukipata nafasi fika ofisini kwangu,naweza kukushauri na kukuelekeza zaidi na kukuonesha baadhi ya tools ambazo natumia.
Hakuna gharama,na ukifanikiwa kununua naweza kukuelekeza jinsi ya kutumia.
Karibu sana.
Sent from my iPhone using Tapatalk