makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaweza kukupatia generic code reader OBD2 ambayo inasoma codes zote za matatizo ya injini kwa euro 100 toka EU
Kwa kuwa sijui nia yako siwezi kusema. Ila hako kamashine huku kanamuingizia mtu euro 20 kusoma code tu. Na kwa gari za sasa hiyo ni hatua tosha kutengeneza magonjwa ya miss, kuwaka kwa tabu kuzimaghafla n.k.Nashukuru mzee tunaweza fanya biashara ila kwanza nahitaji kujua vifaa hitajika kwanza, je nikinunua hii ndio nimemaliza kila kitu!?
Kwa kuwa sijui nia yako siwezi kusema. Ila hako kamashine huku kanamuingizia mtu euro 20 kusoma code tu. Na kwa gari za sasa hiyo ni hatua tosha kutengeneza magonjwa ya miss, kuwaka kwa tabu kuzimaghafla n.k.
Kwa kuwa sijui nia yako siwezi kusema. Ila hako kamashine huku kanamuingizia mtu euro 20 kusoma code tu. Na kwa gari za sasa hiyo ni hatua tosha kutengeneza magonjwa ya miss, kuwaka kwa tabu kuzimaghafla n.k.
Europe kaka huku kila kitu ni ghali, ndiyo maana kama ulishawahi kusikia tunatupa magari sababu ni hiyo. Ukipeleka gari garage ni eur 20 kusoma code tu, ukitaka watengeneze ni euro 100 kwa saa watakayofanya kazi.Upo wapi mkuu!? Huko kwenye kuingiza euro 20!?
Europe kaka huku kila kitu ni ghali, ndiyo maana kama ulishawahi kusikia tunatupa magari sababu ni hiyo. Ukipeleka gari garage ni eur 20 kusoma code tu, ukitaka watengeneze ni euro 100 kwa saa watakayofanya kazi.
Tukirudi kwenye mada, ukiwa na diagnostic car code reader mengine ni hivyo vifungulio( spana ) na vifaa vingine vya kazi za nguvu
Tukirudi kwenye mada, ukiwa na diagnostic car code reader mengine ni hivyo vifungulio( spana ) na vifaa vingine vya kazi za nguvu
Kuna huko kuzidiana vitu kiasi lakini in general code reader zote ni standard zimetengenezwa kutakiwa kusoma OBD2 zote. Na hii ilitakiwa iwe kuanzia gari za 2001 hadi sasa. Hiyo ni kwa mikataba ya nchi zote kubwa wanazotengeneza magari. EU waliweka sheria ili yeyote anayetaka kuuza gari lake Ulaya ni lazima akubali hivyo. Ila code readers hizi hazisaidii kuangalia mambo yaliyo nje ya engine ya gari hapo unabidi kupata software spacific ya gari husika.
Hii opportunity nzuri sana, na mm ngoja nijifunze zaidi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mfano kama hiyo picha hapo.
Ivi vidude nimewai shuhudia Kama vitatu tofauti tofauti na kila kimoja kilikua na changamoto yakeHii model name yake ni ipi!? Na je hiyo euro ni mpaka inanifikia mie mkononi haluna gharama nyingine!? Functions zake ni zipi, ukiweza niorodheshea itakuwa rahisi.