Mr perfect
Senior Member
- May 17, 2013
- 152
- 141
asante mkuustarlet ni gari nzuri sana.kuanzia uimara mpaka matumizi ya mafuta.spea.
gari yoyote ni matunzo.ukishamiliki gari zingatia sana sevisi
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa MkuuUzuri wake
- kadogo dogo raisi kupaki mjini
- mafuta mteremko 5000 unapiga misele
- spare zinapatikana kiraisi na bei nafuu
- kipo faster siyo kama paso...
hahahahahahahaUzur wake battery ikizingua unaweza ku bust hata na power bank ya cm
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaa safi sn....asanteni snKifufue utambe mkuu, wese la 10k unatoboa 72km bila wasiwasi! Kwa jinsi mafuta yalivyoshuka now unaweza gonga 100km kwa 10k tu!
yan ata boda boda anakudharau fujo nying road jichange mkuu upate hata carina au crester old model.kwanini mkuu
HOT
mkuuu unaiongeleaje creaster new model maana nilisikia vijana waniita jini maara wengine wanasema ukikaa mule eti kama upo kwenye ndegeKifufue utambe mkuu, wese la 10k unatoboa 72km bila wasiwasi! Kwa jinsi mafuta yalivyoshuka now unaweza gonga 100km kwa 10k tu!
Kifufue utambe mkuu, wese la 10k unatoboa 72km bila wasiwasi! Kwa jinsi mafuta yalivyoshuka now unaweza gonga 100km kwa 10k tu!
Dah mkuu unamenya sana basi. Hasa ukiwa mkoani ndio raha zaidi.Zaidi ya 100km mouu mana natumia IST ya 1NZ hii bei mpya ya wese kwa 1868 lita wese la buku 15 kitu kinatembea zaodi ya km 100 bila AC
Sent using Jamii Forums mobile app