Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Kuanzia kesho bei ya petrol ni 1520 kwa litaMwezi huu huku nilipo wese ni Tsh 1687
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia kesho bei ya petrol ni 1520 kwa litaMwezi huu huku nilipo wese ni Tsh 1687
Kwa hapa mjini nakushauri uchukue vitz ya cc 990 old model, ni ngumu na vumilivu, pia inatumia mafuta vizuri sana. Passo sikushauri ndugu yangu, ina matumizi mazur ya mafuta ila injini yake sio vumilivu kabisa, pia starlet ni nziri na ni ngumu pia ila tu ni gari ya kizaman sana, ila kama utaipenda chukua tu, ila vitz ni ya kisasa zaid pia ni vumilivu kwenye miguu kuliko starlet, na kwa bei hyo uliyonayo vitz au starlet unapata tena nzuri sana ila ni mkonon kwa mtu.Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan)...
Kamata gari baina ya Vits ama Starlet mkuu yenye engine ya 1,300cc ama zaidi!Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).
Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo? Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence).
Nitaweza kweli ama najidanganya niendelee kusugua malapa?..
mbona gari zipo nyingi we unakazana na ivo bibobo kama una mil 5 unapata gari nzuri tuPasso je? Au vitz. Najichanga nifikishe around 5 mil. nitafute Passo au Vitz. Unadhani Niko sahihi? Naomba unishauri. Ama namie nibakie kwenye starlet.
NB: Kumbuka sijawahi kumiliki gari. Nataka usafiri kuniwezesha root za UDSM, Kimara na Bunju tufanye.
Kamata gari baina ya Vits ama Starlet mkuu yenye engine ya 1,300cc ama zaidi!
Bima inaanzia laki moja na elfu 18 na kiendeleaBlaza Extrovert sorry.
Hivi bima ya hizi mini cars huwa inacheza kwenye kiasi gani?
Naonaga watu wengi wanashikwa na matraffic kwa kosa la bima zao kuisha. Hadi wanapigwa faini.
Hivi tatizo huwa nini, kwamba kulipia bima ni expensive sana or what?
Bima ni 118,000/= Standard price kwa 3rd party. Mtu ambaye anatembea bila bima ni mzembe haswa. Ukikata bima inakaa mwaka mzima.Blaza Extrovert sorry.
Hivi bima ya hizi mini cars huwa inacheza kwenye kiasi gani?
Naonaga watu wengi wanashikwa na matraffic kwa kosa la bima zao kuisha. Hadi wanapigwa faini.
Hivi tatizo huwa nini, kwamba kulipia bima ni expensive sana or what?
Kweni kuna gari isiyo fanyiwa service ipasavyo na ikadumu? Mbona unachanganya watu we jamaaUkubali ukatae injini yake sio vumilivu kama unachelwesha service, naongea hivyo sio kwa kubahatisha.
starlet ikizungusha biashara imeisha, tofaut na 1nz injin au 2nz, nilisha kuwa na starlet ilipo zungusha haikuweza kwenda umbali mrefu, ila 2nz ilizungusha bukoba baada ya kuweka oil fake, tukabadili oili na ikatembea had Dar, je starlet unadhan ingeweza kufanya hvyo...
Umeshindwa kunielewa mkuu, nilichomaanisha ni kwamba kuna injin vumilivu na zisizo vumilivu, rudia kusoma post yangu vizur uelewe kabla ya kukaa kulaumu.Kweni kuna gari isiyo fanyiwa service ipasavyo na ikadumu? Mbona unachanganya watu we jamaa
Labda nikupe pia mfano wa injini ambayo haihitaji janja janja hata kidogo ni 1AZ, fatilia hyo injini nadhan utaelewa ninapokuambia kuwa kuna injin vumilivu na isiyovumilia ikikosa service hata kidogo tu.Kweni kuna gari isiyo fanyiwa service ipasavyo na ikadumu? Mbona unachanganya watu we jamaa
Aisee...wheel base ya IST fupi sana...yaani ukisafiri nayo inadunda dunda...umafika umechoka sana.....hii ni nzuri sana kwa town tripMmh! yan wewe mwanamme nzima unafkiria kununua Starlet au Vits? unanitia Aibu sana Aaargggh!
Pambana ununuwe angalau IST yenye INZ ninzur sana na long safar inaperfom better
Ukishindwa nunuwa Altezza 4cylinder unai PMP unatamba mjini lakin siyo upuuzi wa Starlet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh! yan wewe mwanamme nzima unafkiria kununua Starlet au Vits? unanitia Aibu sana Aaargggh!
Pambana ununuwe angalau IST yenye INZ ninzur sana na long safar inaperfom better
Ukishindwa nunuwa Altezza 4cylinder unai PMP unatamba mjini lakin siyo upuuzi wa Starlet
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa mm naona bora hata Ist au Vitz ya cc 1290 kuliko StarletAisee...wheel base ya IST fupi sana...yaani ukisafiri nayo inadunda dunda...umafika umechoka sana.....hii ni nzuri sana kwa town trip
Ni kweli lakini kwa mtu wa safari safari bora hata spacio ya cc 1490 iko comfortable kuliko IST..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]kwa mm naona bora hata Ist au Vitz ya cc 1290 kuliko Starlet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeua mkuuTatizo lingine la starlet uwez enda nacho kwa wakwe